Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2017

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Uchaguzi mkuu ulifanyika nchini Kenya tarehe 8 Agosti 2017 ili kumchagua Rais, wanachama wa Bunge la Kitaifa na Seneti. Uchaguzi huo uliambatana na uchaguzi wa mashinani nchini Kenya wa 2017 ambao ulichagua Magavana na wawakilishi katika serikali za ugatuzi

Makala hii kuhusu "Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2017" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.