Makamu wa Rais wa Kenya
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Makamu wa Rais wa Kenya ni afisa mtendaji wa pili juu zaidi katika serikali ya Kenya.
Orodha ya Makamu wa Rais wa Kenya
[hariri | hariri chanzo]- Jaramogi Oginga Odinga (Desemba 1963-Mei 1966)
- Joseph Zuzarte Murumbi (Mei 1966-1967)
- Daniel Arap Moi (1967-22 Agosti 1978)
- Mwai Kibaki (14 Oktoba 1978-1988)
- Josephat Njuguna Karanja (1988-1989)
- George Saitoti (Mei 1989-Desemba 1997)
- George Saitoti (Aprili 1999-30 Agosti 2002)
- Wycliffe Musalia Mudavadi (4 Novemba 2002-30 Desemba 2002)
- Michael Wamalwa Kijana (3 Januari 2003-23 Agosti 2003)
- Moody Awori (25 Septemba 2003-9 Januari 2008)
- Stephen Kalonzo Musyoka (9 Januari 2008-2013)
- William Ruto (2013-2022)
- Rigathi Gachagua (2022-hadi leo)