Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Karachuonyo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Karachuonyo ni moja kati ya majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hilo linapatikana katika kaunti ya Homa Bay na ni moja ya Majimbo nane ya Uchaguzi katika kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1963.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963Elijah Omolo AgarKANU
1969David Okiki AmayoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974David Okiki AmayoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Phoeba Muga AsiyoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Phoeba Muga AsiyoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988David Okiki AmayoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Phoeba Muga AsiyoFord-Kenya
1997Peter Adhu AwitiNDP
2002Peter Adhu AwitiNARC
2007James Kwanya RegeODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Mitaa
Central Karachuonyo3,847Rachuonyo County
Gendia / Awach3,331Kendu Bay (mji)
Kumba / Jieri4,121Kendu Bay (mji)
Kanyaluo6,371Rachuonyo County
Kibiri6,205Rachuonyo County
North West Karachuonyo8,076Rachuonyo County
Rambira2,283Kendu Bay (mji)
Simbi / Kogembo3,282Kendu Bay (mji)
Wang'chieng / Karabondi7,905Rachuonyo County
West Karachuonyo7,053
Jumla52,474
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]