Kibiri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kibiri ilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wabiri katika jimbo la Queensland. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii kama lugha ya mama, yaani lugha ya Kibiri ilitoweka. Hata hivyo Wabiri wengine wameanza jitihada za kuifufua lugha yao wakitumia wasifu za zamani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kibiri kiko katika kundi la Kimariki.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kibiri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.