Wilaya ya Homa Bay
Mandhari
Wilaya ya Homa Bay | |
Wilaya ya Homa Bay katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Homa Bay |
Eneo | |
- Jumla | 3,154.7 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 963,794 |
Wilaya ya Homa Bay ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Homa Bay.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Homa Bay.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Homa Bay kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |