Nenda kwa yaliyomo

Mkoa wa Nyanza

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mikoa ya Kenya
Mkoa wa Nyanza
Nyanza Province
Mahali pa Mkoa wa Nyanza
Makao MakuuKisumu
Mji MkubwaKisumu
Eneo

- Jumla
Nafasi ya 6 kati ya mikoa ya Kenya
12,507 km²
Wakazi


 - Jumla (2007)  - Msongamano wa watu / km²
Nafasi ya 3 kati ya mikoa ya Kenya
4,889,700
391/km²
Lugha mkoani Kiluo
Kigusii
Kikuria

Nyanza ni mkoa wa magharibi ya Kenya kando la ziwa Viktoria Nyanza. Mji mkuu ni Kisumu. Mkoa umepakana na Tanzania, Uganda halafu mikoa ya Kenya ya Magharibi na Bonde la Ufa.

Nyanza ina wakazi zaidi ya milioni tano. Walio wengi ni Waluo, halafu Wakisii, Wakuria na Waluhya.

WilayaMakao Makuu
Wilaya ya BondoBondo
Wilaya ya Gucha (Kisii Kusini)Ogembo
Wilaya ya Homa BayHoma Bay
Wilaya ya Kisii (Kisii Kati)Kisii
Wilaya ya KisumuKisumu
Wilaya ya KuriaKehancha
Wilaya ya MigoriMigori
Wilaya ya Nyamira (Kisii Kaskazini)Nyamira
Wilaya ya NyandoAwasi
Wilaya ya RachuonyoOyugis
Wilaya ya SiayaSiaya
Wilaya ya SubaMbita