Wilaya ya Siaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wilaya ya Siaya
Mahali pa Wilaya ya Siaya katika Kenya
Mahali pa Wilaya ya Siaya katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Siaya
Eneo
 - Wilaya 2,496.1 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 842,304

Wilaya ya Siaya ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Siaya.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Siaya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Siaya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.