Wilaya ya Laikipia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Wilaya ya Laikipia
Nembo ya Kenya
Nembo ya Kenya
Mahali pa Wilaya ya Laikipia katika Kenya
Mahali pa Wilaya ya Laikipia katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Nanyuki
Eneo
 - Wilaya 8,696.1 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 399,227

Wilaya ya Laikipia ni moja kati ya wilaya sabini na moja za Kenya , iliyoko kwenye Ikweta katika Mkoa wa Bonde la Ufa . Wilaya hii ina vituo viwili vikuu vya soko: Nanyuki kwenye upande wa kusini mashariki , na Nyahururu kwenye upande wa kusini magharibi. Makao makuu yake ni mji wa Nanyuki.

Idadi ya 0}Wakikuyu takribani 60% ya idadi ya watu wote kwenye wilaya hii, huku idadi iliyosalia ikijumuisha watu wa makabila zingine, ni pamoja na Mukogodo Masai, Wasamburu, Wameru, Waborana, Wakalenjin, Wasomali, Wazungu, Watu wa asili ya Asia, na Waturkana, wakiipa wilaya hii idadi ya watu tofauti tofauti. Mashamba mengi yanamilikiwa na idadi ndogo ya masetla wa ukoloni.

Shughuli kuu za kiuchumi katika wilaya hii ni utalii na kilimo, haswa mimea za mbegu, ufugaji na kilimo cha maua,matunda na mboga.

Hali ya hewa ya wilaya hii ni ya cool temperate,ikiwa na misimu za mvua na kiangazi.

Serikali za Mtaa (Mabaraza)
Baraza Aina Idadi ya Watu* Wakaazi wa mjini*
Nanyuki Manispaa 39,838 31,577
Nyahururu Manispaa 32,120 24,751
Rumuruti Mji 31,649 4,249
Laikipia Kaunti 218,580 3,610
Jumla - 322,187 64,187
* 1999 census. Source: [1]
Maeneo ya utawala
Tarafa Idadi ya Watu* Wakaazi wa mjini* Makao makuu
Mkoa wa Kati 77,478 28,489 Nanyuki
Lamuria 38,517 0 Lamuria
Mukogondo 13,176 624
Ngarua 65,545 2,813 Kinamba
Nyahururu 37,412 22,459 Nyahururu
Olmoran 11,069 0
Rumuruti 78,894 4,061 Rumuruti
Jumla 322,187 58,466 -
* 1999 census. Sources: [2], [3],

Wilaya hii ina Majimbo ya Uchaguzi mawili:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]