Wilaya ya Thika

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Wilaya ya Thika ni wilaya za Mkoa wa Kati wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake iko Thika mjini.

Wilaya imepakana na Nairobi upande wa kaskazini mashariki. Idadi ya wakazi ni 645.713

Wilaya hasa ni kijiji, lakini wakazi wake wa mjini wanazidi kuongezeka pale mji wa Nairobi inapozidi kupanuka. Wakikuyu ndio waliozaidi kwa idadi wilayani.

Halmashauri za miji wilayani
Mamlaka Aina Idadi ya Watu Mjini pop.*
Thika Manispaa 88.265 82.665
Ruiru Manispaa 109.349 79.741
Thika kata County 448.099 5.968
Jumla -- 645.713 168.374
* 1999 census. Source: [1]
Tarafa za wilaya ya Thika
Tarafa Idadi ya Watu Mjini pop.* Makao makuu ya
Gatanga 103.048 0
Gatundu 113.699 0 Gatundu
Kakuzi 71.622 0
Kamwangi (Gatundu kaskazini) 99.460 0
Ruiru (Juja) 150.710 81.709 Ruiru
Thika manisipaa 107.174 75.893 Thika
Jumla 645.713 157.602
* 1999 census. Sources: [2], [3],

Wilaya ina majimbo ya uchaguzi manne:

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Thika kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.