Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Juja

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Juja ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya Uchaguzi katika Kaunti ya Kiambu.

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1969.

Miji ya Thika, Ruiru, Juja na Kilima Mbogo imo katika Jimbo hili.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo zaidi
1969Gitu KahengeriKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Peter Kenyatta MuigaiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Gitu KahengeriKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983George Kamau MuhohoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988George Kamau MuhohoKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Stephen Rugendo NdichoFord-Asili
1997Stephen Rugendo NdichoSDP
2002William Kabogo GitauSisi kwa Sisi
2007George ThuoPNU

Lokesheni na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Lokesheni
Lokesheni Idadi ya Watu*
Gatuanyaga18,975
Juja43,505
Ruiru115,885
Munisipali ya Thika94,372
Jumla272,737
sensa ya 1999.
Wards
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha Utawala wa Eneo
Githurai Kimbo10,117Ruiru munisipali
Gitothua9,101Munisipali ya Ruiru
Kahawa Sukari5,910Munisipali ya Ruiru
Murera7,616Munisipali ya Ruiru
Viwanda / Biashara7,767Munisipali ya Ruiru
Biashara7,503Thika Munisipali
Hospital4,956Munisipali ya Thika
Kiganda6,473Munisipali ya Thika
Komu9,313Munisipali ya Thika
Majengo3,429Munisipali ya Thika
Market4,841Munisipali ya Thika
Mugumoini7,613Munisipali ya Thika
Ndururumo5,714Munisipali ya Thika
Gatuanyaga7,897Thika county
Juja6,878Thika county
Kalimoni6,691Thika county
Jumla111,819
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]