Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Gatundu Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Gatundu Kaskazini ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo kumi na mawili ya uchaguzi katika Kaunti ya Kiambu.

Lina wodi nne ambazo zote zinatawaliwa na baraza la Kaunti.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi wa 1997 kutokana na kugawanywa kwa jimbo kuu la uchaguzi la Gatundu.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997Patrick Kariuki MuiruriSDP
2002Patrick Kariuki MuiruriKANU
2007Clement Kungu WaibaraPICK
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili
Chania11,959
Githobokoni11,412
Gituamba9,925
Mangu12,407
Jumla45,703
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]