Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Gatundu Kusini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Gatundu Kusini ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo saba ya Kaunti ya Murang'a.

Lina wodi nne zote zikiwemo chini ya Baraza la Kaunti.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1997. Awali lilikuwa sehemu ya jimbo kuu la Gatundu.

Mbunge wa sasa wa Jimbo la Gatundu Kusini ni Uhuru Kenyatta, Mwanasiasa maarufu wa Kenya na mwana wa Rais wa kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1997Moses MwihiaSDP
2002Uhuru KenyattaKANU
2007Uhuru KenyattaKANU

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya
Watu*
Kiamwangi23,630
Kiganjo28,502
Ndaragu21,554
Ng'enda46,562
Jumlax
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili
Kiamwangi11,333
Kiganjo12,698
Ndaragu9,459
Ng'enda23,154
Jumla56,644
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]