Eneo bunge la Gatanga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Jamhuri ya Kenya
Coat-of-arms-DETAILED-rgb.png

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Gatanga ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi ya Kenya. Jimbo hili ni moja kati ya majimbo saba ya uchaguzi ya Kaunti ya Murang'a. Lina wodi saba ambazo zote zimo katika baraza la Kaunti.

Historia[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uvhaguzi mkuu wa 1988 kutokana na kugawanywa kwa jimbo la Kandara kutengeneza majimbo mawili.

Tarafa[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lina tarafa mbili za utawala: Gatanga na Kakuzi, ambayo ilianzishwa mnamo 2002[1].

Wabunge[hariri | hariri chanzo]

Uchaguzi Mbunge [2] Chama Vidokezo
1988 Joseph Mwaura Gachui KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Josephat Mburu Wanyoike Ford-Asili
1997 David Wakairu Murathe SDP
2002 Peter Kenneth NARC
2007 Peter Kenneth PNU

Wodi[hariri | hariri chanzo]

Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Gatanga 14,104
Ithanga 7,801
Kakuzi 6,781
Kariara 8,488
Kigoro 9,331
Kihumbuini 15,542
Mitubiri 8,715
Jumla 70,762
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Gatanga Constituency website. Jalada kutoka ya awali juu ya 2018-12-28. Iliwekwa mnamo 2021-01-16.
  2. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived Februari 28, 2008 at the Wayback Machine.
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]