Wilaya ya Kwale
Mandhari
Wilaya ya Kwale | |
Mahali pa Wilaya ya Kwale katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Kwale |
Eneo | |
- Jumla | 8,270.3 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 649,931 |
Wilaya ya Kwale ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Kwale.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kwale.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kwale kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |