Wilaya ya Kuria
Mandhari
Wilaya ya Kuria ilikuwa wilaya mojawapo (miaka 2007-2010 zilikuwa mbili: Kuria Magharibi na Kuria Mashariki) ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Kuria ni eneo lililobarikiwa kwa kilimo na biashara na linalojaribu kupinga utamaduni na kuenzi elimu kuwa ndiyo ufunguo wa maisha.
Makao makuu yalikuwa mjini Kehancha.
Kwa sasa imekuwa sehemu kaunti ya Migori.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kuria kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |