Nenda kwa yaliyomo

Hola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Hospitali ya Kaunti, Hola


Hola (pia: Galole) ni mji wa Kenya na makao makuu wa kaunti ya Tana River[1]..

Mwaka 1999 ulikuwa na wakazi 6,932.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]