Nenda kwa yaliyomo

Kamulu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mto Kamulu

Kamulu ni mji wa Kenya, kaunti ya Nairobi.

Wakazi walikuwa 26,448 wakati wa sensa ya mwaka 2019[1].