Nenda kwa yaliyomo

Kaunti ya Kwale

Majiranukta: 4°10′S 39°27′E / 4.167°S 39.450°E / -4.167; 39.450
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaunti ya Kwale
Kaunti
Kwale County in Kenya.svg
Kaunti ya Kwale katika Kenya
Coordinates: 4°10′S 39°27′E / 4.167°S 39.450°E / -4.167; 39.450
Nchi Kenya
Namba2
IlianzishwaTarehe 4 Machi, 2013
Ilitanguliwa naMkoa wa Pwani
Makao MakuuKwale
Miji mingineUkunda, Mariakani, Msambweni, Lunga Lunga
GavanaSalim Mvurya
Naibu wa GavanaFatuma Mohamed Achani
SenetaIssa Juma Boy
Mbunge Mwanamke(Bunge la Taifa)Zuleikha Juma Hassan
Bunge la KauntiBunge la Kaunti ya kwale
SpikaSammy Ruwa
Maeneo bunge/Kaunti ndogo4
Eneokm2 8 267.1 (sq mi 3 191.9)
Idadi ya watu866,820
Wiani wa idadi ya watu105
Kanda mudaSaa za Afrika Mashariki (UTC+3)
Tovutikwalecountygov.com

Kaunti ya Kwale ni Kaunti nchini Kenya iliyoko kwenye eneo la Mkoa wa Pwani la awali. Mji mkuu uko Kwale lakini mji wake mkubwa ni Ukunda.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 eneo la kaunti lilikuwa na wakazi 866,820 katika eneo la km2 8,267.1, msongamano ukiwa hivyo wa 105 kwa kilometa mraba[1].

Kwale ina sehemu ya pwani kwenye mwambao wa Bahari Hindi kati ya Mombasa na Tanzania. Sehemu zinazotembelea sana na watalii ni Diani Beach katika tarafa ya Msambweni, Shimba Hills National Reserve na Patakatifu pa tembo pa Mwaluganje.

Kaunti ya Kwale ina maeneo bunge yafuatayo[2][3]:

Eneo Bunge Kata
Msambweni Gombato Bongwe, Ukunda, Kinondo, Ramisi
Lunga Lunga Pongwe / Kikoneni, Dzombo, Mwereni, Vanga
Matuga Tsimba Golini, Waa, Tiwi, Kubo Kusini, Mkongani
Kinango Ndavaya, Puma, Kinango, Mackinnon Road, Chengoni / Samburu, Mwavumbo, Kasemeni

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019)[4]

[hariri | hariri chanzo]
  • Kinango 94,220
  • Lunga Lunga 198,423
  • Matuga 194,252
  • Msambweni 177,690
  • Samburu-Kwale 202,235

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. www.knbs.or.ke
  2. http://countytrak.infotrakresearch.com/Kwale-county/
  3. "Wawakilishi wa Wadi katika bunge la Kwale Archived 24 Septemba 2014 at the Wayback Machine.", Serikali ya Kaunti ya Kwale, ilipatikana 08-04-2018
  4. www.knbs.or.ke

Viungo vya Nje

[hariri | hariri chanzo]