Saa za Afrika Mashariki

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kanda muda za Afrika. Saa za Afrika Mashariki katika kijani.

Saa za Afrika Mashariki (kwa Kiingereza: East Africa Time, kifupi: EAT) ni kanda muda inayotumika katika Afrika ya Mashariki. Iko katika kanda ya UTC +3, ambayo iko saa tatu mbele ya muda sanifu.

Saa za Afrika Mashariki hutumiwa na: