Kaunti ya Kisii

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Picha ya ramani ikionesha eneo la Kaunti ya Kisii, nchini Kenya
Mojawapo ya mitaa ya Kisii, Kenya

Kaunti ya Kisii ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 1,266,860 katika eneo la km2 1,323, msongamano ukiwa hivyo wa watu 958 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Kisii.

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [2][hariri | hariri chanzo]

 • Etago 83,787
 • Gucha 83,740
 • Gucha South 83,623
 • Kenyenya 131,740
 • Kisii Central 166,906
 • Kisii South 135,134
 • Kitutu Central 154,175
 • Marani 107,464
 • Masaba South 122,396
 • Nyamache 130,898
 • Sameta 66,99

Maeneo bunge[hariri | hariri chanzo]

Uchumi[hariri | hariri chanzo]

Wakazi wengi wa kaunti hii wanategemea kilimo kwa chakula na mapato ya kifedha. Baadhi ya mimea inayokuzwa ni mahindi, ndizi na chai.[3].

Pia kuna biashara, hasa uuzaji wa mazao ya kilimo.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

 1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
 2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2019-11-13. Iliwekwa mnamo 2021-05-30.
 3. Ripoti ya Ufugaji wilayani Kisii: www.smallholderdairy.org

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]