Kaunti ya Kajiado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kaunti ya Kajiado ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Makao makuu yako Kajiado.

Serikali za Mitaa(Baraza ya Miji)
Serikali ya Mtaa Aina Idadi ya Watu Wakaazi wa mjini*
Kajiado mji 12,204 9,128
Olkejuado Baraza la mji 393,850 71,223
Jumla - 406,054 80,351

Wilaya hii imegawanywa kwenye taarafa saba za utawala. Tarafa mpya ya Isinya haijajumuishwa kwenye jadwali lifuatalao kulingana na sensa ya 1999:

Maeneo ya utawala
Tarafa Idadi ya Watu Wakaazi wa mjini* Makao makuu
Mkoa wa Kati 69,402 16,444 Kajiado
Loitokitok 95,430 7,495
Magadi 20,112 0 Magadi
Mashuru 35,666 2,248 Mashuru
Namanga 35,673 5,503 Namanga
Ngong 149,771 20,657 Ngong
Jumla 406,054 38,299 -

Kuna maeneo ya bunge matatu katika wilaya hii:

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]