Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kajiado Kaskazini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kajiado Kaskazini ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo matano ya Kaunti ya Kajiado. Eneo lote la jimbo hili liko katika Baraza la Olkejuado county.

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1966.

Mwaka wa Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo zaidi
1966G. K. ole KipuryKANU
1969John KeenKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974John KeenKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979John KeenKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Philip OdupoyKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988George SaitotiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992George SaitotiKANU
1997George SaitotiKANU
2002George SaitotiKANU
2007George SaitotiPNU

Lolesheni na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Lokesheni
Jina la Lokesheni Idadi ya Wakazi*
Central Keekonyokie12,547
Isinya8,178
Kiserian22,635
Kitenkela23,770
Magadi6,303
Mosiro4,426
Nkaimoronya50,221
Ngong22,065
North Keekonyokie16,962
Oldonyo Nyoike3,391
Olkiramatian10,187
Oloolua24,647
Ongata Rongai33,151
Olturoto6,864
Shompole7,678
South Keekonyokie18,570
Jumlax
1999 census.
Wodi za Udiwani
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Central Keekonyokie3,285
Kaputei North4,706
Kiserian6,226
Kitengela6,631
Magadi2,812
Mosiro1,374
Ngong8,176
Nkai-Murunya11,855
North Keekonyokie5,172
Olkiramatian1,991
Oloolua6,717
Ongata rongai9,343
Shompole1,877
South Keekonyokie4,163
Total74,328
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]