Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Kajiado

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Wilaya ya Kajiado
Mahali paWilaya ya Kajiado
Mahali paWilaya ya Kajiado
Mahali pa Wilaya ya Kajiado katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kajiado
Eneo
 - Jumla 21,292.7 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 687,312

Wilaya ya Kajiado ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Ilikuwa na jumla ya wakazi 406,054 na ukubwa wa eneo la kilomita mraba 21,903 [1]. Wilaya hii ilipakana na mji wa Nairobi na kuendelea hadi kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania kusini zaidi.

Makao makuu yalikuwa mjini Kajiado.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kajiado.

Serikali za Mitaa(Baraza ya Miji)
Serikali ya Mtaa Aina Idadi ya Watu Wakaazi wa mjini*
Kajiado mji 12,204 9,128
Olkejuado Baraza la mji 393,850 71,223
Jumla - 406,054 80,351

Wilaya hii ilikuwa imegawanywa katika taarafa saba za utawala. Tarafa mpya ya Isinya haijajumuishwa kwenye jedwali lifuatalao kulingana na sensa ya 1999:

Maeneo ya utawala
Tarafa Idadi ya Watu Wakaazi wa mjini* Makao makuu
Mkoa wa Kati 69,402 16,444 Kajiado
Loitokitok 95,430 7,495
Magadi 20,112 0 Magadi
Mashuru 35,666 2,248 Mashuru
Namanga 35,673 5,503 Namanga
Ngong 149,771 20,657 Ngong
Jumla 406,054 38,299 -

Kulikuwa na maeneo bunge matatu katika wilaya hiyo:

Angalia pia

[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]

Lua error in package.lua at line 80: module 'Module:Navbar/configuration' not found.