Wilaya ya Mandera
Mandhari
Wilaya ya Mandera | |
Mahali pa Wilaya ya Mandera katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Mandera |
Eneo | |
- Jumla | 25,797.7 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,025,756 |
Wilaya ya Mandera ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Mandera.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Mandera.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mandera kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |