Wilaya ya Kilifi
Mandhari
Wilaya ya Kilifi | |
Mahali pa Wilaya ya Kilifi katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Kilifii |
Eneo | |
- Jumla | 12,245.9 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,109,735 |
Wilaya ya Kilifi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Kilifi.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Kilifi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kilifi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |