Wilaya ya Garissa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Wilaya ya Garissa
Mahali paWilaya ya Garissa
Mahali paWilaya ya Garissa
Mahali pa Wilaya ya Garissa katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Garissa
Eneo
 - Jumla 45,720.2 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 623,060

Wilaya ya Garissa ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Garissa.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Garissa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Garissa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.