Wilaya ya Taita-Taveta
Jump to navigation
Jump to search
Wilaya ya Taita-Taveta | |
Mahali pa Wilaya ya Taita-Taveta katika Kenya | |
Nchi | ![]() |
---|---|
Mji mkuu | Voi |
Eneo | |
- Wilaya | 17,083.9 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- | 284,657 |
Wilaya ya Taita-Taveta ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Voi.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Taita-Taveta.
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
![]() |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Taita-Taveta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |