Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Nyando

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Nyando ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Awasi.

Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kisumu.


Mamlaka za Mitaa (Halmashauri)
Mamlaka Aina Idadi ya Watu Wakazi wa mjini*
Awasi Jiji 48.725 1.654
Ahero Jiji 40.232 212
Muhoroni Jiji 38.924 2.205
Jumla -- 460.939 11.084
* 1999 census. Source: [1]
Maeneo ya utawala
Tarafa Idadi ya Watu Wakazi wa mjini* Makao makuu
Nyakach 59.652 0
Muhoroni 92.641 1.857
Awasi 56.998 405
Lower Nyakach 54.722 1.702
Miwani 67.060 3.850
Upper Nyakach 78.827 1.465 Nyakach
Sameta 51.039 0
Jumla 460.939 9.279 --
2009 census. Sources:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nyando kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.