Wilaya ya Ijara
Mandhari
Wilaya ya Ijara ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki wa Jamhuri ya Kenya tangu mwaka 2000 hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Ijara.
Kwa sasa imekuwa tena sehemu ya kaunti ya Garissa.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kaskazini-Mashariki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Ijara kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |