Wilaya ya Busia, Kenya
Wilaya ya Busia | |
Mahali pa Wilaya ya Busia katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mji mkuu | Busia |
Eneo | |
- Jumla | 1,628.4 km² |
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 743,946 |
Busia ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Ilikuwa inapakana na Wilaya ya Kakamega mashariki, Wilaya ya Bungoma kaskazini, Wilaya ya Busia, Uganda upande wa magharibi, na Ziwa Victoria upande wa kusini.
Makao makuu yalikuwa mjini Busia.
Kwa sasa imekuwa kaunti ya Busia.
Shughuli kuu ya kiuchumi ni biashara na nchi jirani ya Uganda, pamoja na mji wa Busia kituo cha mpakani.
Mbali na mji, uchumi wa wilaya hutegemea sana uvuvi na kilimo, mazao msingi yakiwa pamoja na mihogo, mtama, viazi vitamu, maharagwe, na mahindi.
Wilaya ya Busia ni makao ya kabila la Waluhya nchini Kenya ambao wanapatikana hasa katika sehemu za Magharibi mwa Kenya. Wilaya hii ilikuwa na wakazi 370,608 (1999 sensa).
Mamlaka za Mitaa (Halmashauri) | |||
Mamlaka | Aina | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* |
---|---|---|---|
Busia | Manispaa | 44,766 | 30,777 |
Funyula | Manispaa | 18,043 | 1,242 |
Nambale | Mji | 26,168 | 1,005 |
Port Victoria | Mji | 18,472 | 5,917 |
Manispaa ya Busia | Manispaa | 263,159 | 5,516 |
Jumla | -- | 370,608 | 44,457 |
* 1999 census. Source: [1] |
Maeneo ya utawala | |||
Tarafa | Idadi ya Watu | Wakazi wa mjini* | Makao makuu |
---|---|---|---|
Budalangi | 53,356 | 5,417 | |
Butula | 95,489 | 4,805 | Butula |
Funyula | 73,875 | 1,106 | Funyula |
Matayos | 56,186 | 0 | Matayos |
Nambale | 67,544 | 0 | Nambale |
Township | 25,158 | 15,695 | Busia |
Jumla | 370,608 | 27,022 | -- |
* 1999 census. Sources: [2], [3], |
Wilaya ya Busia ina maeneo bunge manne:
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Namboboto, kijiji katika Wilaya ya Busia.
- Busia, Kenya
- Busia, Uganda
- Wilaya ya Busia, Uganda
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Ramani ya Wilaya ya Busia Archived 27 Septemba 2007 at the Wayback Machine.
0°26′N 34°9′E / 0.433°N 34.150°E
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Busia, Kenya kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |