Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Nambale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Nambale ni mojawapo ya Majimbo ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Busia nchini Kenya, miongoni mwa majimbo saba ya kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Philip J. Wanyama MasindeKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Philip J. Wanyama MasindeKANU
1997Chrysanthus OkemoKANU
2002Chrysanthus OkemoKANU
2007Chrysanthus OkemoODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojisajili Utawala wa Mitaa
Bulanda1,839Busia (Mji)
Burumba3,996Busia (Mji)
Mayenje1,709Busia (Mji)
Mjini5,707Busia (Mji)
Kisoko2,555Nambale (Mji)
Lwanyange1,171Nambale (Mji)
Manyole2,314Nambale (Mji)
Tangakona / Khwirale4,152Nambale (Mji)
Bukhayo Central4,527Busia County
Bukhayo East7,029Busia County
Bukhayo North / Walatsi5,685Busia County
Matayos North11,131Busia County
Matayos South9,825Busia County
Jumla61,640
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]