Wilaya ya Teso

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Teso ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Teso.

Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Busia.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Teso kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.