Wilaya ya Malindi
Mandhari
Wilaya ya Malindi | |
Mahali pa Wilaya ya Malindi katika Kenya | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Mkoa | Pwani |
Mji mkuu | Malindi |
Eneo | |
- Jumla | 7,751 km² |
Idadi ya wakazi (1999 Sensa[1]) | |
- Wakazi kwa ujumla | 544,303 |
Wilaya ya Malindi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Pwani wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).
Makao makuu yalikuwa mjini Malindi.
Kwa sasa imekuwa sehemu ya kaunti ya Kilifi.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Pwani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Malindi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |