Wilaya ya Bondo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Wilaya ya Bondo ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya tangu mwaka 1998 hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Bondo.

Kwa sasa imerudi kuwa sehemu ya kaunti ya Siaya.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Bondo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.