Wilaya ya Nandi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Wilaya ya Nandi
Nembo ya Kenya
Nembo ya Kenya
Mahali pa Wilaya ya Nandi katika Kenya
Mahali pa Wilaya ya Nandi katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kapsabet
Eneo
 - Wilaya 2,884.5 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - 752,965

Wilaya ya Nandi ni wilaya ya utawala katika Mkoa wa Bonde la Ufa nchini Kenya. mji mkuu wake ni Kapsabet. Wilaya hii ina jumla ya wakaazi 578,751 (sensa ya 1999) [1].

Maumbile ya wilaya hii yamejawa na Milima ya Nandi. Wakaazi wenyeji ni haswa wa kabila la Wanandi.

Wilaya ya Nandi ni maarufu kwa kuwa nyumbani kwa wakimbiaji wengi Wakenyan , iwakiwemo Kipchoge Keino, Henry Rono, Moses Tanui na Bernard Lagat.

Serikali za Mitaa[hariri | hariri chanzo]

Serikali ya Mtaa Aina Idadi ya Watu Wakaazi wa mjini*
Kapsabet Manispaa 64,830 17,918
Nandi Hills Mji 63,134 3,575
Nandi county Baraza la Mji 450,787 3,156

Maeneo ya utawala[hariri | hariri chanzo]

Tarafa Idadi ya Watu Wakazi wa mjini* Makao makuu
Aldai 96,220 200 Kobujoi
Kabiyet 43,367 751 Kabiyet
Kapsabet 125,115 16,942 Kapsabet
Kaptumo 26,782 150 Kaptumo
Kilibwoni 62,692 116 Kilibwoni
Kipkaren 52,753 0
Kosirai 35,383 957
Nandi Hills 77,514 3499 Nandi Hills
Tinderet 58,925 0

Maeneo Bunge[hariri | hariri chanzo]

Wilaya hii ina Maeneo Bunge nne:

Marejeo[hariri | hariri chanzo]