Nenda kwa yaliyomo

Moses Tanui

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Moses Tanui (alizaliwa Sugoi, kaunti ya Nandi, Kenya 20 Agosti 1965) ni mwanariadha wa zamani wa Kenya wa mbio ndefu ambaye alishinda medali ya dhahabu ya mita 10,000 katika Mashindano ya Dunia mwaka 1991 katika Riadha huko Tokyo.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Moses Tanui kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.