Wilaya ya Kakamega

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Wilaya ya Kakamega ni moja ya wilaya za Mkoa wa Magharibi wa Jamhuri ya Kenya. Makao makuu yake yako Kakamega mjini.

Flag-map of Kenya.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Magharibi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Kakamega kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.