Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Meru Kati

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sehemu ya Mazingira ya Meru

Wilaya ya Meru Kati ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Meru.

Kwa sasa imekuwa tena sehemu ya kaunti ya Meru.

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Meru Kati kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.