Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Mwingi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Barabara kuu ya Mwingi.

Wilaya ya Mwingi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Mashariki wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Mwingi.

Kwa sasa imekuwa tena sehemu ya kaunti ya Kitui.

Wilaya ilikuwa na wakazi 303.828 (sensa ya 1999). Walio wengi ni Wakamba. Mwanasiasa Kalonzo Musyoka ni mwenyeji wa Tseikuru katika Mwingi.

Eneo lapakana na hifadhi ya taifa ya Mwingi National Reserve (zamani Kitui North National Reserve).

Wilayani kulikuwa na majimbo mawili ya uchaguzi: Mwingi Kaskazini na Mwingi Kusini.

Miji (halmashauri)
Mamlaka Aina Wakazi* Wakazi wa mjini*
Mwingimji67,67810,138
Mwingi Countymashambani236,150462
jumla-303,82810,600
Vitengo vya utawala
Tarafa Wakazi* Wakazi wa miji.* Makao makuu
Central83,6879,281Mwingi
Kyuso34,2720
Migwani56,907433Migwani
Muumoni37,6070
Ngomeni10,7120Ngomeni
Nguni20,4150Nguni
Nuu36,5610
Tseikuru23,6670Tseikuru
Jumla303,8289,714-
* 1999 census. Sources: , ,
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mashariki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Mwingi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.