Hifadhi ya taifa

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Hifadhi ya Taifa ni eneo ambalo katika mpangilio wa matumizi ya ardhi linalenga kulinda maliasili.

Kila nchi inatarajiwa kutenga maeneo kwa ajili hiyo.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]