Nenda kwa yaliyomo

Maliasili

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maliasili

Maliasili ni vitu ambavyo watu au taifa hawajatengeneza, ila vipo nao huvitegemea kwa ajili ya kuendeleza uchumi wa taifa husika.

Kwa mfano Tanzania ni nchi yenye maliasili nyingi ambazo ni kama mbuga za wanyama, madini na mengine mengi. Suala ni hizo maliasili zinatumikaje katika kuendeleza uchumi wa nchi. Ingewekeza katika uendelezaji wa maliasili, nchi ingekuwa na uchumi wa hali ya juu. Pia wananchi wanatakiwa kuzitunza na kuzijali ili zitumike vyema katika ukuaji wa uchumi wetu.

Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Maliasili kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.