Nenda kwa yaliyomo

Wilaya ya Nyamira

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Wilaya ya Nyamira
Mahali paWilaya ya Nyamira
Mahali paWilaya ya Nyamira
Wilaya ya Nyamira katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Nyamira
Eneo
 - Jumla 912.5 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 598,252

Wilaya ya Nyamira ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Nyanza wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Ilikuwa sehemu ya Wilaya ya Kisii na kuitwa pia Kisii Kaskazini. Wilaya hii ilikuwa na watu 492,102 kulingana na sensa ya mwaka 1999.

Makao makuu yalikuwa mji wa Nyamira wenye watu takribani 10,000 kulingana na hesabu ya 1999.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya Nyamira.

Maeneo ya Utawala ya Wilaya

[hariri | hariri chanzo]
Maeneo ya Utawala
Eneo Aina ya Utawala Idadi ya Watu* Wakazi wa mtaa*
NyamiraMji65,6339,971
NyansiongoMji35,4133,692
Nyamira CountyCounty397,0560
Kwa Ujumla498,10213,663
*Hesabu ya 1999. Kiini:
Tarafa za Utawala
Tarafa Idadi ya Watu* Idadi ya Wakazi mtaani Makao makuu
Borabu58,0793,241Nyansiongo
Ekerenyo133,9670Ekerenyo
Manga75,9960Manga
Nyamira133,9209,559Nyamira
Rigoma96,1403,395Rigoma
Kwa Ujumla498,10216,195-
*Hesabu ya 1999. Kiini: ,

Majimbo ya Uchaguzi

[hariri | hariri chanzo]

Wilaya ya Nyamira ina majimbo matatu ya Uchaguzi:

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Nyanza bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Nyamira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.