Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kitutu Masaba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Kitutu Masaba)
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kitutu Masaba ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo ya uchaguzi ya Kaunti ya Nyamira.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge wa Kitutu Masaba

[hariri | hariri chanzo]
Uchaguzi Mbunge [1] Chama Mchango
1988Augustus MomanyiKANUMfumo wa Chama kimoja.
1992George AnyonaKSC
1997George AnyonaKSC
2002Samson Nyangau OkiomaFord-People
2007Walter NyambatiNLP

Wodi za Uchaguzi

[hariri | hariri chanzo]
Wodi za Uchaguzi
Wodi Wapiga Kura Waliosajiliwa Utawala wa Mji
Bocharia1,815Keroka (mji)
Gachuba10,527Nyamira (County)
Gesima7,229Nyamira (County)
Getare1,501Kisii (Munisipali)
Kemera8,673Nyamira (County)
Magombo8,912Nyamira (County)
Manga10,608Nyamira (County)
Mochenwa4,931Nyamira (County)
Nyankoba3,232Keroka (Mji)
Nyasore3,101Keroka (Mji)
Rigoma5,319Nyamira (County)
Total65,848
*Septemba 2005 [2].

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]