Wilaya ya Pokot Magharibi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Wilaya ya Pokot Magharibi
Mahali paWilaya ya Pokot Magharibi
Mahali paWilaya ya Pokot Magharibi
Mahali pa Wilaya ya Pokot Magharibi katika Kenya
Nchi Bendera ya Kenya Kenya
Mji mkuu Kapenguria
Eneo
 - Jumla 8,418.2 km²
Idadi ya wakazi (2009 Sensa[1])
 - Wakazi kwa ujumla 512,690

Wilaya ya Pokot Magharibi ilikuwa wilaya mojawapo ya Mkoa wa Bonde la Ufa wa Jamhuri ya Kenya hadi ilipopitishwa katiba mpya ya nchi (2010).

Makao makuu yalikuwa mjini Kapenguria.

Kwa sasa imekuwa kaunti ya West Pokot.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Bonde la Ufa bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Pokot Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.