Kaunti ya Siaya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Kaunti ya Siaya ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Wakati wa sensa ya mwaka 2019 wakazi walikuwa 993,183 katika eneo la km2 2,529.8, msongamano ukiwa hivyo wa watu 393 kwa kilometa mraba[1].

Makao makuu yako Siaya.

Idadi ya wakazi katika kaunti ndogo (2019) [2][hariri | hariri chanzo]

  • Siaya 224,343
  • Gem 179,792
  • Ugenya 134,354
  • Ugunja 104,241
  • Bondo 197,883
  • Rarieda 152,570

Maeneo bunge[hariri | hariri chanzo]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]