Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Gem

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Gem ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo sita yapatikanayo katika Kaunti ya Siaya.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili ni moja kati ya majimbo ya Uchaguzi ya kwanza kuanzishwa nchini Kenya baada ya Uhuru. Lilianzishwa wakati wa uchaguzi wa 1963.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963C.M.G. Argwings-KodhekKANU
1969Wasonga SijeyoKANUMfumo wa Chama Kimoja. Sijeyo alitiwa nguvuni kwa sababu za kisiasa, ikipelekea uchaguzi Mdogo mwaka huo,[2]
1969Isaac Omolo OkeroKANUMfumo wa Chama Kimoja, Uchaguzi Mdogo
1974Isaac Omolo OkeroKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Aggrey Otieno AmbalaKANUMfumo wa chama Kimoja
1983Horace OwitiKANUMfumo wa chama Kimoja
1985Grace OgotKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Grace OgotKANUMfumo wa chama Kimoja
1992Oki Ooko OmbakaFord-K
1997Joe DondeFord-K
2002Washington Jakoyo MidiwoNARC
2007Washington Jakoyo MidiwoODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Utawala wa Mitaa
Anyiko / Sauri2,361Yala (Mji)
Central Gem7,109Siaya county
East Gem4,891Siaya county
Jina1,890Yala (Mji)
Marenyo2,375Yala (Mji)
North Gem8,463Siaya county
Nyamninia4,173Yala (Mji)
South Gem6,442Siaya county
Wagai North8,381Siaya county
Wagai South5,819Siaya county
Jumla51,904
*Septemba 2005 [3].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]

Virejeleo

[hariri | hariri chanzo]
  1. Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
  2. "We Lived To Tell - The Nyayo House Story" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2009-10-07. Iliwekwa mnamo 2010-01-24.
  3. Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency