Eneo bunge la Rarieda
Mandhari
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Rarieda ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo mawili ya Kaunti ya Siaya. Eneo lote la Jimbo hili liko chini ya baraza la Bondo County.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilibuniwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Bob Francis Jalang’o | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Achieng Oneko | Ford-Kenya | |
1997 | George Odeny Ngure | NDP | |
2002 | Raphael Tuju | NARC | |
2007 | Nicholas Gumbo | ODM |
Wodi
[hariri | hariri chanzo]Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojisajili |
---|---|
Central Asembo | 7,480 |
East Asembo | 6,378 |
Madiany East | 10,372 |
Madiany West | 11,038 |
Rarieda West | 8,403 |
Jumla | 43,671 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Rarieda kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |