Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Ugenya

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Ugenya ni Jimbo la uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya Majimbo sita ya kaunti ya Siaya.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili ni moja kati ya majimbo ya uchaguzi makongwe zaidi nchini Kenya. Lilianzishwa wakati wa uchaguzi mkuu wa 1963.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1963John Odero-SarKPU
1969Matthews Joseph OgutuKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Matthews Joseph OgutuKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Matthews Joseph OgutuKANUMfumo wa Chama Kimoja
1980James OrengoKANUUchaguzi mdogo
1983Stephen Oluoch OndiekKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Stephen Oluoch OndiekKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992James OrengoFord-K
1997James OrengoFord-K
2002Stephen Oluoch OndiekNARC
2007James OrengoODM
Wodi
Wodi Wapiga Kura
Waliojiandikisha
Serikali ya Mitaa
Ambira / Ngunya4,070Ugunja mji
East Ugenya4,770Siaya County
Magoya / Rambula3,014Ugunja (mji)
North East Ugenya10,357Siaya (county)
North Ugenya6,771Ukwala (mji)
North West Ugenya4,634Ukwala (mji)
South Ugenya8,249Siaya County
Ugunja2,972Ugunja (mji)
Uholo East5,389Siaya County
Uholo North4,828Siaya County
Ukwala East4,409Ukwala (Mji)
Ukwala West4,330Ukwala (Mji)
Umala2,738Ugunja (Mji)
West Ugenya3,817Siaya County
Jumla70,348
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]