Matuu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Matuu ni mji wa Kenya katika Kaunti ya Machakos ambao unakua haraka.

Mwaka 2009 ulikuwa na wakazi 53,144[1].

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya Kenya 2009, tovuti ya KNBS, ilitazamwa Januari 2009.