Wote
Jump to navigation
Jump to search
Wote | |
Lua error in Module:Location_map at line 388: The value "<strong class="error">Expression error: Unexpected / operator.</strong>" provided for longitude is not valid.Mahali pa Wote katika Kenya |
|
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Makueni |
Idadi ya wakazi | |
- | 56,419 |
Wote ni mji wa Kenya Mashariki. Ni makao makuu ya kaunti ya Makueni. Ni kata ya Eneo bunge la Makueni[1].
Wakazi wa eneo lake ni 56,419 (sensa ya mwaka 1999).
Tanbihi[hariri | hariri chanzo]
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
![]() | Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wote kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |